Explore Basic Kiswahili

KiswahiliEnglish
Jambo?How are you?
Habari gani?How are you doing?
Habari ya asubuhi Good morning
AsubuhiMorning
Habari ya mchanagood afternoon
MchanaAfternoon
Habari ya jioniGoog evening
JioniEvening
Lala salamaGoodnight
Karibu kiti please have a seat
KaribuWelcome
KwaheriGoodbye
AsanteThank you
Asante sanaThank you very much
JinaName
Jina langu ni…My name is…
Jina lako nani?What's your name?
Natafta…I am looking for…
JanaYesterday
LeoToday
KeshoTomorrow
Juma hiliThis Week
Juma lijaloNext Week
Juma tatuMonday
Juma nneTuesday
Juma tanoWednesday
AlhamisiThursday
IjumaaFriday
Juma mosiSaturday
Juma piliSunday
Mwezi janaLast month
Mwezi huuThis month
Mwezi ujaoNext month
Wapi?Where?
Lini?When?
Nini?Who?
Tunafanya nini leoWhat are we doing today?
WanyamaAnimals
NdegeBirds
SimbaLion
NyatiBuffalo
KifaruRhino
TemboElephant
ChuiLeopard
Duma/chitaCheeter
TwigaGiraffe
PundamiliaZebra
NgiriWarthog
NyumbuWildebeest